Warembo waliofanikiwa kuingia hatu5 bora ya Redds Miss Tanzania 2012, kutoka kushoto ni Brigitte Alfred, Eugen Fabian, Happyness Daniel, Edda Sylvester na Magdalene Roy wakipozi kwa picha. |
Katikati Brigita Alfred akiwa kwenye vazi la ufukweni, ndie miss Tanzania 2012/13 katika shindano lililofanyika jana Nov3/2012 hoteli ya blue peal |
Waongoza Show nzima ya Redds Miss Tanzania 2012, Jocate Mwegelo 'Kidot' na Taji Liundi wakiwajibika. |
Mrembo Brigita akipungia baada yakutangazwamshindi na kuvalishwa taji jana |
Mrembo anaemaliza muda wake Salha Israel akimvisha taji mrembo mpya Brigita Alfred jana |
Washiriki wakicheza show ya ufunguzi wakati wa kuanza kwa shindano hilo. |
Msanii kutoka THT Rachel nae alipata fursa ya kuonesha kipaji chake na kudhihirisha wazi kuwa yeye ni Mrithi wa Ray C kwa sauti na kiuno Bila mfupa. |
Warembo mbalimbali wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakionekana Jukwaani katika vazi la ufukweni. |
Fina Recatus akipita jukwaani na vazi la ubunifu. Fina ni Balozi wa Tanga Beach Resort |
No comments:
Post a Comment