Saturday, 17 November 2012

KATIBU MKUU CCM ATINGA OFISI KWA MARA YA KWANZA LEO

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya watendaji wa ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam leo alipowasili ofisini hapo kwa mara ya kwanza  baada ya kuteuliwa kushikilia wadhifa huo.

Katibu Mkuu mpya wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Mwenyekiti wa idara ya uenezi na itikadi ya chama cha mapinduzi Nape Nnauye katika ofisi ndogo ya CCM iliyopo Lumumba jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment