Thursday, 1 November 2012

PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO ZIARA YA RAIS MKOANI KILIMANJARO JANA

Rais akisalimiana na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe jana katika ziara ya kikazi ya uzinduzi wa barabara ya lami wilayani hai.


Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuashiria kuanza kwa shughuli za ujenzi wa barabara ya Lami katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, kushoto kwake ni Kiongozi wa Kambi ya upinzani ambae pia ni mbunge wa jimbo hilo Freeman Mbowe na kulia ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli. anaepiga makofi kushangilia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na anaeonekana katikati ya mkuu wa Mkoa ni Mdau Novatus Makunga ambae pia ni DC wa wilaya ya Hai.
Rais JK akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro jana wakati wa uzinduzi wa barabara ya lami wilayani Hai.

Rais Kikwete akihutubia wakazi wa Hai jana

No comments:

Post a Comment