Friday, 16 November 2012

POLISI KUTOKOMEZA UJANGILI KWA KUTUMIA POLISI JAMII

Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Gilles Muroto akifafanua jambo wakati wa mkutano wa Ulinzi shirikishi uliofanyika katika shule ya Msingi Sokoni One iliyopo katika jiji la Arusha. mkutano huo  uliwajumuisha askari wa jeshi la Polisi, viongozi wa kata ya Sokoni one na askari wa vikundi vya Ulinzi shirikishi


Mkuu wa kitengo cha Polisi Jamii mkoa wa Arusha Mrakibu wa Polisi (SP) Mary Lugola akitoa elimu ya Polisi Jamii kwa askari wa vikund vya ulinzi shirikishi katika mkutano uliofanyika shule ya Msingi Sokoni One iliyopo kata ya   Sokoni One jijini Arusha .




No comments:

Post a Comment