Monday, 5 November 2012

MAFUNZO YA HABARI ZA VIJIJINI MANYARA

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Manyara Mary Margwe akiwasilisha kazi walizopewa na mwezeshaji Frank Sanga kwenye mafunzo ya uandishi wa habari za vijijini yanayoendelea mkoani humo.

Makamu Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Manyara akiwasilisha kazi walizopewa

No comments:

Post a Comment