Mkurugenzi
wa Masoko wa
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi, akiwa katika picha ya
pamoja
na wachezaji wa zamani na maofisa wa timu ya Sunderland FC baada ya
kukabidhiwa zawadi ya saa. Kutoka kulia ni Balozi wa Sunderland na
golikipa wa zamani Jimmy Montgomery, Gary Mutchinson, Mkurugenzi wa
Biashara, na Kevin Ball nahodha wa zamani wa timu hiyo. |
No comments:
Post a Comment