Thursday, 22 November 2012

PICHA MBALIMBALI MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA OFISI KATI YA MKURUGENZI WA FEDHA NA UTAWALA JACKSON UISSO WA (UTPC) NA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA (APC)




Abraham Gwandu mmoja wa wajumbe wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Arusha, akisaidia kuteremsha moja ya computer zilizotolewa na UTPC kwa APC.










Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu akihakiki camera iliyotolewa na UTPC, wa kwanza kulia ni Semmy Kiondo (mwanachama) na wa kwanza kushoto ni Edward Selasini



Baadhi ya viongozi na wanachama wa APC wakiangalia vifaa vya ofisi walivyokabidhiwa na umoja wa klabu za waandishi wa habari nchini UTPC, wa kwanza kushoto, Edward Selasini, Abraham Gwandu, Claud Gwandu, Seif Mangwangi





No comments:

Post a Comment