![]() |
| Hapa Rais Kikwete akikata utepe wa uzinduzi wa hospitali ya Wilaya ya Arusha Vijijini |
![]() |
| Rais Kikwete akizindua hospitali ya wilaya ya Arusha vijijini iliyopo kijiji cha Olturumetu wilayani humo jana |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete, akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya Arusha vijijini ya Ol turumet |



No comments:
Post a Comment