Wednesday, 21 November 2012

MGAMBO WAENDELEA KUSAFISHA JIJI LA ARUSHA

Askari Mgambo wakikamata bidhaa za mmoja wa wafanyabiashara ndogondogo leo katika mtaa wa Moivo. Mgambo wanaendelea na zoezi la kuondoa vibanda vidogo katikati ya mji,zoezi ambalo linaelezwa kufanywa kwa manyanyaso makubwa na askari hao.

No comments:

Post a Comment