Thursday, 1 November 2012

TAFSIRI YA RUSHWA


Tafsri ya rushwa ni pana sana, rushwa ni zaidi ya ukoma au zaidi ya UKIMWI.Kwa kuwa janga la rushwa limekuwa wazi hata katika ngazi za kutolea maamuzi hususan Bungeni kama mnavyosikia mara kwa mara kuwa Mbunge fulani kakamatwa akitoa au akipokea rushwa pia askari fulani kapokea rushwa ili kuruhusu gari lenye makosa lipite, unafikiria nini kifanyike ili kudhibiti hali hii! Je inamaanisha waliopewa meno ya kusimamia uadilifu na uwajibikaji wameshindwa kwa kuwa wanazungukwa na wala rusha huku wenyewe wakishawishika kuzipokea au maslahi yao ni duni, Katiba Mpya inaweza kusaidia nini hapa?-----TUTAFAKARI!!!!

No comments:

Post a Comment