Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu anayeonekana mgongo akiongoza kikao cha utendaji na viongozi wa kurugenzi ya uhusiano na ustawi wa wanachama jana Oktoba 31/2012 katika hoteli ya Golden Rose. wa kwanza kushoto ni mjumbe wa kurugenzi hiyo Abraham Gwandu, anayefuata Cynthia Mwilolezi (Mwenyekiti wa kurugenzi), Mustafa Leo ( Katibu) na Charles Ngereza ( Makamu Mwenyekiti APC). |
No comments:
Post a Comment